Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea mradi husika kwa kujibu maswali ya vihatarishi vya mradi, fursa zilizopo, rasilimali na jinsi vitakavyotumika, mpangilio mzima wa kuutekeleza mradi ikiwa ni pamoja na uongozi na usimamizi, mpango endelevu wa mradi kwa hapo baadaye kwa upande wa kitaasisi na kifedha
No Comments. Continue Reading...
Mpangilio wa kuandika andiko la mradi [Format = Framework for Proposal writing]
No Comments. Continue Reading...
Wasifu na maelezo ya awali ya mradi ni maelezo ambazo zitauelezea mradi kwa ufupi kabla maelezo ya kina hayajatolewa.
No Comments. Continue Reading...
Taarifa za chanzo cha mradi na sababu muhimu za kuanzishwa mradi
No Comments. Continue Reading...
Malengo, Madhumini, Shughuli na Majukumu yote kwa mpangilio juu ya mradi
No Comments. Continue Reading...
Uchambuzi wa wadau wa mradi Kuwatambua wadau waliopo katika eneo la ki wilaya karibu na mradi huu Tafiti kujua matakwa yao na umuhimu wao katika mradi wako na jamii Weka mikakati ya kuwahusisha na mradi wako Chora jedwali la kujipima kati ya mradi wako na wadau wengine Aina ya ushirikiano Taarifu Ushauri Mwenza Dhibiti Utambuzi [...]
No Comments. Continue Reading...
Masuala ya yahusuyo kijinsia na watoto Masuala ya mazingira Masuala ya uongozi na utawala bora Magonjwa hasa ukimwi Malaria Haki za binadamu nk Incoming search terms:mtambukamasuala ya mtambuka
No Comments. Continue Reading...
Tathimini na Ufuatiliaji wa mradi Njia gani za kufuatilia mradi siku kwa siku Utawezaje kukusanya taarifa za utekelezaji wa mradi kila wakati Utoaji wataarifa (ripoti) ukoje Aina za tathimini utakazo fanya na marangapi kwa njia zipi na kwa vipindi gani na kwa nini Ripoti ya tathimini na mapendekezo yake katika kuboresha mradi Incoming search terms:mpango [...]
No Comments. Continue Reading...
Uendelevu wa Mradi Ni mikakati ipi umeweka ya kuendeleza mradi huu Mikakati ya kishirika na kitaasisi Mikakati ya kifedha kwaajili ya uendelevu wa mradi Mikakati ya Kijamii na kiutamaduni kulingana na aina ya mradi Namna ya kutekeleza mikakati hiyo bila kuathiri bajeti ya mradi Incoming search terms:vigezo vya uendelevu wa mradi
No Comments. Continue Reading...
Bajeti ya mradi mzima Jumla ya gharama za mradi ni kiasi gani Mchanganuo wake kulingana na maelezo yote ya mradi na malengo Mgawanyiko wa gharama hizo ni nini ? Yaani fedha inayo kwenda moja kwa moja kwa walengwa ni kiasi gani na fedha inayobaki katika utawala na malipo ya wafanyakazi ni kiasi gani Fedha nyingine [...]
No Comments. Continue Reading...