"Let Share Strengths"
Downloads
|
|
download: PC Construction and Management (1.80MB) added: 18/07/2010 clicks: 2 description: PC Construction and management is a useful knowledge for any computer technicians and managers. It will enable you not only to learn how to construct an personal system but also make you able to manage and procure the systems for corporate and individual systems. The e book covers all areas starting from customer need analysis, step by step PC construction, troubleshooting the system using flow charting model, installing and configuring the operating system, and finally the information security concept, spread, prevention and mitigating computer disasters |
|
|
download: Elimu ya ujasiriamali - Andiko la Mradi (100.20KB) added: 18/07/2010 clicks: 0 description: Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea na kujibu kila swali linalohusu mradi mpya katika jamii. |
|
|
download: Mwongozo wa maombi ya ruzuku - The Foundation Civil Society (1.36MB) added: 18/07/2010 clicks: 11 description: Ndani ya mwongozo huuutapata maelezo juu ya nani anaweza kuomba ruzuku, nini tunakiangalia katika kufikiria maombi husika, namna ambavyo maombi yako yatashughulikiwa, na namna ya kujaza fomu ya maombi. Fomu za maombi zinapatikana katika lugha za Kiingereza na Kiswahili |
|
|
download: Tabia saba za kiongozi bora - Usikose kitabu hiki muhimu (149.38KB) added: 18/07/2010 clicks: 0 description: Kitabu hiki kinaonyesha jinsi gani mtu aweza kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora ni yule anatyeweza kwanza kujikomboa mwenyewe kifikra, kiuchumi, kiutamaduni, na katika nyanja zote za maisha. Kiongozi bora ia ni kiongozi anayeweza kuwaongoza wenzake (jamii nzima) kujikomboa kama yeye alivyojikomboa. |
|
|
download: Katiba ya Uwaku - Bado haijakamilika-- (47.42KB) added: 18/07/2010 clicks: 16 description: Katiba ya uwaku ni mfano utakaokuwezesha kuandika katiba kwajili ya jumuiya, kikundi, chama au shirika la kijamii. Kwa maswali zaidi tuwasiliane |
|
|
download: Elimu ya ujasiriamali-Namna ya kuendesha biashara ndogo ndogo (132.31KB) added: 18/07/2010 clicks: 0 description: Elimu ya ujasiriamali ni mfululizo wa mafundisho ya wafanyabiashara wadogo na wa kati juu ya namna ya kuanzisha, kuimarisha na kuendesha biashara. |
|
|
download: Vitabu vya fedha na utunzaji wake (175.90KB) added: 18/07/2010 clicks: 0 description: Vitabu vya fedha ni vitu muhimu sana katika kufahamu, kufuatilia na kutadhmini biashara yako ili kuiboresha zaidi. "mali bila daftari hupotea bila habari" " Biashara bila vitabu hufulisika bila habari pia" |
|
|
download: Ubunifu Wa Miradi Na Biashara Ndogo Ndogo- Elimu ya ujasiriamali (361.57KB) added: 18/07/2010 clicks: 1 description: Jisomee kitabu hiki upate mawazo mbadala ya namna ya kuibua miradi na biashara ndogondogo. |
|
|
download: Website Management Consulting Agreement (45.00KB) added: 20/08/2010 clicks: 10 description: Website Management Consulting Agreement |
|
|
download: Mkataba wa Kufundisha Mpango Mkakati jumla (21.52KB) added: 20/08/2010 clicks: 6 description: Mkataba wa Kufundisha Mpango Mkakati jumla |





