• Sehemu ya II: Kubuni na Kuanzisha Biashara Ndogondogo

    Posted on September 30, 2011 by in Ujasiriamali

    Baada ya kutiwa motisha kuwa Mfanyabiashara Huwezi kuwa Mfanyabiashara mpaka umemiliki biashara. Ili Kubuni na Kuanzisha Biashara Ndogondogo mtu anatakiwa ajue yafuatayo:

    Aina Tatu (3) za Biashara

    1. Kutengeneza bidhaa (Manufacturing) – Kutengeneza bidhaa ni kutumia rasilimali watu na malighafi ili kutengeneza bidhaa ya kuuza kwa mlaji au mchuuzi. Bidhaa ni kama vyakula, vyombo, nk
    2. Kuuza bidhaa (Trading) – Kuchuuza bidhaa zilizotengenezwa hapo juu no. A(a)
    3. Kutoa huduma (Service) – Kutumia ujuzi wako au wa wengine katika kuwahudumia watu na shida zao kwa malipo. Mfano kufundisha, kutibu, kusafirisha, kutumbuiza nk

    Incoming search terms:

    • kuanzisha biashara
    • jinsi ya kubuni biashara
    • fomu za mikopo
    • aina za biashara ndogondogo
    • maombi ya mkopo wa biashara yangu
    • kutengeneza bidhaa ndogondogo
    • jinsi ya kutengeneza fomu za mikopo
    • form za mikopo tanzania
    • aina za biashara ndogo tanzania
    • biashara ya milioni 3

    Post Tagged with

2 Responsesso far.

  1. DAINESS D. MWANGWASI says:

    NAOMBA KAMA KUNAUWEZEKANO WA KUPATA FOMU YA MIKOPO HIYO NAOMBA NIJURISHWE KUPITIA E-MAIL YANGU(danieldainess@yahoo.com)

  2. DAINESS D. MWANGWASI says:

    NIMEBUNI BIASHARA AMBAYO INAWEZA KUNIPATIA KIPATO PAMOJA NA KUKUZA TEKNOLOJIA YANGU KATIKA BIASHARA HIYO, MI NILIKUWA NA SHIDA YA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 3, KATIKA KUENDESHA BIASHARA HIYO, NA NITAFATA VIGEZO NA MASHARITI NITAKAYOPEWA NA WATOAJI WA MIKOPO HIYO.

Leave a Reply