Maelezo ya utangulizi juu ya kuendesha biashara ndogondogo na faida yake kwa wajasiriamali na taifa kwa ujumla
1.0 Biashara ndogo ndogo ni ile ambayo
- Inamilikiwa na kuendeshwa kibinafsi
- Inafanya kazi katika eneo dogo la nyumbani
- Haijaota mizizi katika utendaji
- Ina mtaji mdogo.
2.0 Umuhimu wa Biashara ndogo ndogo
- Inachangia mchango mkubwa sana katika uchumi
- Ni rahisi kuifanya, kimtaji na kiuongozi
- Ni rahisi kupata wateja
3.0 Faida ya biashara ndogo ndogo
- Inakuza uchumi kwa haraka, ndio maana wachumi wengi duniani wameipa umuhimu
- Inazalisha sana kwani inahitaji wafanyakazi wachache
- Ugunduzi wa technolojia mpya
- Inachangia ushindani wa kibiashara na kuleta ahueni kwa walaji.
4.0 Vikwazo kwa Wafanya biashara ndogo ndogo
Ninapotaka kuanzisha biashara natakiwa niwe na vitu gani? Namaanisha vitendea kazi gani?