Mafunzo

Tunatoa mafunzo ya biashara na ujasiriamali, uongozi, TEHAMA kwa mfumo wa kufundishia maofisini au nje ya offisi kama vile warsha, semina, kongamano, nk. Maeneo mahsusi ni kuanzisha na kuendesha biashara ndogondogo, kuandika andiko la mradi, kuandika mchanganuo wa biashara, kuandika mpango mkakati, masoko, kutengeneza tovuti na masoko masafa,  uongozi na masuala ya ujasiriamali na biashara kwa ujumla wake. Kwa maelezo zaidi tuandikie au piga simu

Incoming search terms:

  • Taarifa ya warsha ya mafunzo ya ujasiriamali kwa foundation
  • andiko la mradi wa kuanzisha tovuti
  • Je wajua nchi tajiri duniani?
  • mafunzo ya biashara online

Leave a Reply