Tunatoa ushauri wa biashara na ujasiriamali pamoja na TEHAMA kwa ujumla wake. Hasa tunashauri katika kuandika andiko la mradi, kuandika mchanganuo wa biashara, kuandika mpango mkakati, kutengeneza tovuti, na masoko masafa, utunzaji wa takwimu za fedha kupitia computer na uongozi
habari,nahitwa ndugu Thadeus Mbena toka Dar es salaam Tanzania.Mimi ni muajiriwa katika Wizara nina elimu ya Computer Science ningependa kuwa na shughuli zangu binafsi nje ya kazi hii ninayofanya.Nimefikiria kuwa na internet cafe pamoja na kufanya biashara ya stationeries,ikiwezekana na kufanya computer maintenance and repaire.Sijawahi kufanya biashara nataka kujua jinsi ya kuanza na jinsi nitakavyokuwa naendesha biashara hiyo.
pamoja na hayo nataka kumfungulia mke wangu saloon ya kike pamoja na duka la vipodozi naomba msaada juu ya mambo haya!.
Natanguliza shukrania