Kwa kweli ukitaka biashara yako ife kwa haraka, fanya bila ya kuwa na kitabu cha mapato. Hata mfanyakazi wako ambaye ni mwaminifuAndika fedha zote zinazoingia katika biashara yako kama mapato, mfano umeuza nyanya, umeuza mahindi, mnauza unga nk.
Jina la biashara…………………………………….……………… Mwaka wa fedha ……………………….
Tarehe | Maelezo ya mapato | Idadi | Bei | Kiasi |
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:
English Form |
Fomu ya Kiswahili |