Mafunzo: Kubuni Miradi - Mirerani, Arusha

Warsha ya mafunzo ya ujasiriamali na kubuni miradi - Mirerani, Arusha

Slide 1

Andiko la Miradi

Jifunze namna bora ya kuandika na kufundisha andiko la mradi kwa ajili ya jamii, kikundi, shirika au biashara yako

Mchanganuo wa Biashara

Jifunze namna bora ya kuandika na kufundisha mchanganuo wa biashara kwa ajili yako, benki au wawekezaji nk

Mpango Mkakati

Jifunze namna bora ya kuandika na kufundisha mpango mkakati kwa ajili ya kikundi, ofisi au shirika lako.

Ujasiriamali na Uongozi

Jifunze ujasiriamali ni nini, namna gani unaweza kuanzisha biashara ndogondogo, na aina nzuri ya uongozi katika kufikia maono na dhima nzima ya biashara au shirika lako

Huwezi Kuwa Mfanyabiashara Mpaka Uwe Unamiliki Biashara!!
Huwezi Kuwa Mjasiriamali Mpaka Uwe Jasiri wa Kuthubutu!!
Mwl. na Mshauri: Lemburis Kivuyo
Edit translation
Machine translation (Google):
Loading...
Copy to editor
or Cancel