Mchanganuo wa biashara ni maelezo ya kina ambayo inaonyesha biashara yako ilikotoka, inakokwenda, hali ya masoko, sekta, kifedha na uongozi wa biahara yako. Ni taarifa muhimu ya kuwavutia wawekezaji na watoa mikopo kama mabenki
Mambo muhimu ya kujua katika kuandika Mchanganuo wa Biashara au Business Plan
Muhtasari wa biashara yako
Historia na maelezo ya biashara yako
Maelezo ya bidhaa au huduma ya biashara yako
Mchanganuo wa masoko
Ukubwa wa soko
Mgawanyo wa soko
Aina ya soko/masoko
Mchanganuo wa ushindani
Watoa huduma au wauza bidhaa kama yako
Udhaifu wao
Uwezo wao
Mkakati wa utekelezaji
Uongozi na usimamizi wa kazi
Uchambuzi wa madhaifu, nguvu, fursa na hatari zinazokabili biashara yako
Mkakati wa Uzalishaji
Mkakati wa kuuza
Mpango wa fedha
Uchambuzi wa mahitaji ya mtaji
Wapi utatoa mtaji
Matumizi ya mtaji
Makisio ya Mauzo
Uchambuzi wa kurudisha gharama (break even analysis)
Makisio ya faida au hasara
Makisio ya mzunguko wa fedha katika biashara yako (cashflow)
Makisio ya oanisho la mali na madeni ya biashara yako (balance sheet)
Ulinganifu wa sehemu mbalimbali za biashara (business ratios)
Viambatanishoi. Lesseniii. Cheti cha ulipaji kodi
iii. Cheti cha usajili
iv. Taarifa mbalimbali za biashara yako ambazo hazikupata nafasi ndani ya mchanganuo huu