Kitabu cha mikopo ni muhimu ili kutunza kumbukumbu zote za mikopo, kama umechukua mkopo kutoka kwa rafiki, ndugu, kijijini, serikalini, taasisi yeyote ya kukopehsa au benki, rekodi hapa chini ili uweze kufuatilia mkopo kwa habari ya kulipa kwa wakati muafaka ili safari nyingine ukikopa uaminiwe na upewe.
Jina la biashara…………………………………….……………… Mwaka wa fedha ……………………….
Tarehe |
Maelezo na kusudi la mkopo |
Tarehe ya kurudisha |
Kiasi cha mkopo |
Jina la Mkopeshaji |
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:
English Form |
Fomu ya Kiswahili |